Mwanafunzi wa chuo kikuu afanya kazi za kijungu jiko

Daisy Awino Ogalo mwanafunzi wa mwaka wa tatu chuo kikuu cha Moi Eldoret kitivo cha biashara kutoka kijiji cha magutu… kule ukunda ya kwale anafahamika na wengi wakaazi wa diani kwa kuwafulia nguo zao ili mradi apate kipato chake na kukimu familia yake ambayo inamtegemea kutokana na babake kukatwa mguu wake kutona na ugonjwa wa kiskari akishindwa kufanya kazi yake ya fundi wa stima

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories