Mwanafunzi wa Chuo kikuu akamatwa kwa kupanga kujiunga na ISIS

Mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu cha Moi akamatwa na maafisa wa polisi mjini Mombasa kwa madai ya kupanga kutoroka humu nchini na kuelekea nchini Libya kujiunga na kundi la kigaidi la ISIS na kwingineko watu 9 wakiwemo maafisa kutoka mamlaka ya ukusanyaji ushuru nchini KRA na wa mamlaka ya bandari KPA wamefikishwa katika mahakama ya Mombasa na kushtakiwa na kosa la kushirikiana kusaidia kuachilia kontena 121 bila kulipa ushurui kutoka Bandari ya Mombasa.

Tags:

ISIS chuo kikuu cha Moi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories