Mwanaharakati dhidi ya ukeketaji atuzwa na malkia wa Uingereza


Domitila Chesang amekuwa mstari wa mbele katika vita dhidi ya tohara kwa mtoto msichana katika vijiji vya kaunti ya Pokot Magharibi, na juhudi hizo zilitambuliwa na malkia wa Uingereza. Na kama anavyoarifu mwanahabari wetu Collins Shitiabayi mwaliko huo umemchochea Domitila kuendeleza kampeini yake.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Collins Shitiyabayi
More by this author