Mwanajeshi atoweka wiki tatu kabla ya kufuzu


Kijana mmoja aliyekuwa amesajiliwa katika jeshi kitengo cha kadet na kupitia mafunzo ya miaka mitatu ya mazoezi makali, hajulikani alipo baada ya kutoweka wiki tatu tu kabla ya kufuzu. Ni kisa kinachomnyima usingizi Mama Mary Amatu, ambaye amekuwa akimsaka mwanawe Roy Munene baada ya kutoweka walipokuwa wakipokea mafunzo katika msitu Wa Mlima Kenya.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Hassan Mugambi
More by this author