logo

Mwanamke abakwa na kisha kutupwa kwenye reli

By For Citizen Digital

Watu wawili wanaodaiwa kumbaka msichana mmoja huko mombasa na kisha baadaye kumtupa kwenye reli ya gari moshi wanaendelea kusakwa na polisi wa makupa mjini Mombasa. Aidha kulingana na muathiriwa ni kwamba jamaa waliomfanya kitendo hicho anawafahamu vyema.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelBy Citizen Reporter More by this authorMost RecentSponsored Content