Mwanamke adaiwa kumuua mumewe Nyeri

Wakazi wa kijiji cha kiawara mjini Nyeri hii leo wameamkia tukio la kustaajabisha baada ya mwanamke mmoja kumuua mumewe  kwa kumchoma kisu,katika mvurugano wa kimapenzi.

Mke huyo anayefahamika kama alice wangu alimdunga kisu mumewe samuel mwangi pindi tu alipoanza vurugu nyumbani kwake baada ya mume huyo kumfumania na mwanamume mwengine.

Alice alijisalimishe mbele ya polisi baada ya kitendo hicho na kwa sasa amezuiliwa katika kituo cha polisi cha kiawara, huku mwili wa marehemu ukihafadhiwa katika chumba cha kuhifadhi maiti cha hospitali ya Nyeri.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories