Mwanamke afikishwa kortini kwa tuhuma ya kumuua mumewe

Mahakama mjini Nakuru imempa kiongozi wa mashataka siku kumi na nne zaidi kukamilisha uchunguzi dhidi ya washukiwa wanne wanaodaiwa kushirikiana kumuuwa mwanabiashara mashuhuri Julius Kimani mwezi uliopita. Kesi hiyo inamhusisha mkewe marehemu ambaye ndiye mshukiwa mkuu.

Tags:

Nakuru. Julius Kimani

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories