Mwanamke aliyeiba mtoto asakwa Kisii
Published on: September 28, 2016 11:31 (EAT)
Mama mmoja huko Nyamira amempoteza mwanawe wa miezi mitatu mikononi mwa mtu asiyemfahamu, na sasa kilio chake ni kimoja tu mwanamke aliyemchukuwa mwanawe siku ya Jumatatu katika hospitali amrudishe tu. Hii ni baada ya picha za CCTV katika hospitali kuonyesha jinsi mwanamke huyo alivyomuiba mtoto wa miezi mitatu. Huku polisi wakimtaka yoyote anayejua habari zozote kuhusu mama anayedaiwa kuiba mtoto kuripoti katika kituo cha polisi karibu naye.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment