Mwanamke aliyepigwa na mchumba wake wa zamani taabani

Mwanamke mmoja kutoka mtaa wa South b anauguza majeraha katika hospitali ya wanawake ya nairobi baada ya madai ya kupigwa na mwanamume aliyekuwa mumewe. Mwanamke huyo Grace Nyagothie anasema kuwa ishara za kupigwa mara kwa mara zilikuwepo, lakini alitarajia kuwa mui angekuwa mwema ili wamlee mwanao wa miaka kumi. Na kama anavyomuelezea mwanahabari saida swaleh, majuto yake yamekuja baadaye.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories