Mwanamke amuua mpenzi wake Murang’a

Huzuni imetanda kaunti ya Murang’a baada ya mvulana wa umri wa miaka ishirini na mitatu kuuliwa na mpenziwe. Inasemekana wawili hao walikuwa na mzozo kuhusu simu ulisababisha mwanamke huyuo kupandwa na mori na kuteleza unyama huo.

Tags:

muranga

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories