Mwanamke Wa Kisomali Azua Vioja Mahakamani

Mwanamke mmoja mwenye asili ya Kisomali alizua kizaazaa katika mahakama ya Mombasa na kutatiza shughuli kwa muda.

Mwanamke aliyefikishwa mahakamani kwa shutma za kuwa humu nchini kinyume na sheria alionekana akivutana na maafisa wa usalama akitaka kurejeshwa nchini Somalia.Victor Wetende anatusimulia kioja hicho.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories