Mwanamume aiangamiza familia yake na kujitoa uhai

Mwanamume mmoja katika eneo la Malaba huko Weitethie kaunti ya Kiambu anadaiwa kuwaua wanawe kwa kuwapiga kwa kifaa butu kabla ya kuteketeza nyumba yao na kusababisha kifo cha mkewe pamoja na yeye mwenyewe baada ya kile kinachoshukiwa kuwa mzozo wa kinyumbani.

Tags:

Juja Killings

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories