Mwanamume Amnajisi Bintiwe

Katika taarifa nyengine ya kutamausha mwanamume mmoja anadaiwa kumbaka mtoto wake wa kike wa miaka mitano ,kitendo ambacho  mtoto huyo anakiri kufanyiwa mbele ya mamake wa kambo. Aidha inadaiwa kwamba jamaa huyo hajulikani alipo sasa baada ya tukio hilo kubainika hapo jana. Kwa sasa mamake anataka haki itendeke kwa kumtia nguvuni mshukiwa.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories