Mwanamume mmoja huko Nandi ajaribu kujiua

Mwanamume mmoja katika kijiji cha Chesumei kaunti ya Nandi anaendelea kuunguza majeraha mabaya ya moto huku mkewe akiaga dunia baada ya kuichoma nyumba yake kwa petroli usiku wa kuamkia leo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories