Mwanasheria Mkuu asisitiza Rais Kenyatta bado ana mamlaka yote


Mwanasheria mkuu Prof. Githu Muigai amesisitiza kuwa Rais Uhuru Kenyatta yumo mamlakani kikatiba, na anaweza kutekeleza majukumu yote kisheria, licha ya uchaguzi wake kuhudumu muhula wa pili kupigwa teke na mahakama ya upeo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: The Fresh Look 9PM Bulletins... #ThisIsTheStory

Story By Francis Gachuri
More by this author