Mwanaume, 20, anyofoa nyeti zake, Busia

Mwaname mwenye umri wa miaka 20 anaendelea kuuguza majeraha katika hospitali ya rufaa mjini Busia baada ya yeye kujinyofoa sehemu zake za siri. Inakisiwa kuwa Jafaar Rashid alitekeleza kitendo hicho kufuatia mawazo mengi baada ya kudaiwa kuwa alilawitiwa na baadhi ya maafisa wa polisi kutoka kituo cha Nambale.

Tags:

Busia Nyofoa sehemu nyeti

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories