Mwanaume adaiwa kumuua mpenziwe Nakuru

Mwanamke mmoja katika kaunti ya nakuru aliuawa na mpenziwe usiku wa kuamkia leo. Mwanamke huyo ambaye ameolewa na amejaliwa watoto wawili anasemekana kumtembelea mpenziwe wa kando mwenye miaka 20 kabla ya mkasa kutokea. Victor Nzioka anaarifu zaidi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories