Mwanaume afa maji katika kidimbwi cha hoteli Nakuru

Mwili wa Elvis Keter aliyetumbukia mto Molo siku ya Jumamosi akipiga picha za selfie hatimaye umeopolewa. Na katika kaunti hiyo hiyo ya Nakuru familia moja inalilia haki baada ya mwana wao kufa maji katika kidimbwi cha kuongolea hotelini.

Tags:

Nakuru. Elvis Keter Molo River

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories