Mwanaume aliyedhaniwa kufa atokea siku ya mazishi

Maandalizi ya mazishi ya mwanaume mmoja katika kijiji cha Ombokwari kaunti ya Migori yaligeuka na kuwa karamu baada ya jamaa aliyedhaniwa kuwa amekufa  miezi miwili iliyopita kupatikana akiwa hai akibugia pombe katika baa moja eneo hilo.

Tags:

Migori mwendeshaji bodaboda

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories