Mwanaume auliwa na mpenziwe Meru


Mwanamke mmoja anadaiwa kumuua mpenziwe kwa sababu zisizoeleweka walipokuwa wakijistarehesha ndani ya baa huko Meru. Mwanamume huyo ambaye alikuwa mwalimu katika shule ya upili ya Meru Muslim alidungwa kisu mara tano na kufariki papo hapo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Saida Swaleh
More by this author