Mwangi amekaidi amri ya kuomba Naibu Rais msamaha

Mwanaharakati bonniface mwangi amesama hajutii maandishi yake katika mtandao wa kijamii wa twitter. Mwangi kupitia kwa wakili wake Gitobu Imanyara amekaidi agizo la kuomba msamahama, na kumtaka naibu rais William Ruto amfikishe mahakamani kama alivyotishia, kupitia kwa wakili wake Kioko Kilukumi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories