Mwenyekiti wa IEBC akutana na viongozi wa upinzani

Muungano wa upinzani umewashinikiza makamishna wapya wa tume ya uchaguzi nchini IEBC kuwafuta kazi wakurugenzi wawili wanaosimamia vitengo vya teknolojia (ICT) na usajili wa wapiga kura, kwa kile  wanachodai ni ukosefu wa uwajibikaji. Katika kikao na makamishna wa IEBC, viongozi hao wa NASA pia wametaka hakikisho kuwa sajili ya wapiga kura itakayotumika katika uchaguzi wa mwezi Agosti itakuwa safi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories