Mwenyekiti wa Royal Media – SK Macharia, asherehekia miaka 75


Ilikuwa siku ya furaha kwa jamaa na rafiki waliohudhuria sherehe za siku ya kuzaliwa kwa mwenyekiti wa kampuni ya Royal Media aliyetimiza miaka sabini na tano. Akitajwa kama mpenda wengi na mkakamavu kwa kila namna.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Saida Swaleh
More by this author