Mwili wa Chris Musando umepatikana chumba cha maiti cha City

Mwili wa mkurugenzi wa teknolojia ya habari na mawasiliano katika tume huru ya uchaguzi na mipaka iebc, chris musando umepatikana leo. Musando aliripotiwa kutoweka tangu ijumaa na mwili wake umepatikana ukiwa na majeraha mikononi na kichwani katika chumba cha kuhifadhia maiti cha city. Tayari mwili wa Musando umehamishwa hadi chumba cha kuhifadhi maiti cha Lee

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories