Mzozo wa mashamba Kitale

 

Wataalamu wa kilimo wameonya kuwa huenda taifa la Kenya likakabiliwa na uhaba wa chakula miaka kumi kutoka sasa.

Kama anavyoarifu mwanahabari wetu collins shitiabayi hii ni kutokana na ugavi wa mashamba na maeneo mengi ya kukuza vyakula kufanywa makao na  huenda hali hii ukahujumu uzalishaji wa vyakula iwapo serikali haitalivalia njuga swala hili.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories