Naibu Rais aongoza kikosi cha Jubilee Bungoma


Naibu Rais William Ruto ametetea hatua ya Jubilee ya kutaka kufanyia marekebisho sheria za uchaguzi akisema kuwa hatua hiyo itasaidia katika kuepusha taifa la zogozogo la marejeo ya uchaguzi kama ilivyoagizwa na mahakama ya juu. Ruto aliyasema haya alipoeendeleza kampeni za jubilee katika kaunti ya Bungoma

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Gatete Njoroge
More by this author