Naibu rais aongoza kikosi cha Jubilee Naivasha


Naibu rais William Ruto amekashifu viongozi wa upinzani akisema kuwa hawana ajenda ya kuendeleza taifa na kuwarai wakenya kuunga mkono serikali ya jubilee katika uchaguzi wa mwezi Agosti. Ruto aliyasema haya alipoendeleza kampeni za jubilee katika mji wa Naivasha kaunti ya Nakuru.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: MPs threaten to slash NYS budget

Story By Gatete Njoroge
More by this author