Naibu Rais awaonya wanaouza mihadarati Pwani

Serikali imeendelea kutoa cheche za maneno kuhusu tatizo la mihadarati ambapo maafisa wa usalama wanaodaiwa kushirikiana na walanguzi wa dawa za kulevya wameonywa wakiambiwa chuma chao ki motoni.

Salim Swaleh anaripoti zaidi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories