Naibu Rais azuru kaunti ya Taita Taveta

Naibu rais William Ruto amewataka wakaazi wa kaunti ya Taita Taveta kuunga mkono kikamilifu muungano wa Jubilee katika uchaguzi mkuu ujao. Ruto ambaye alizuru kaunti hiyo kukipigia debe chama cha Jubilee huku akiwakashifu viongozi wa upinzani kwa kukosa ajenda ya kuwasaidia wakaazi wa pwani.

Tags:

JUBILEE william ruto TAITA TAVETA

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories