Naibu Rais William aendelea na ziara ya Magharibi

Naibu Rais William Ruto hii leo amezuru eneo la Magharibi kukipigia debe chama cha Jubilee. Ruto ambaye alizuru maeneo ya Tongaren na Likuyani katika kaunti ya Bungoma, amewataka wenyeji wa eneo hilo kujiunga na chama cha Jubilee huku akimtaka kiongozi wa ANC Musalia Mudavadi kutema azma yake ya kuwa rais mwaka ujao na kumuunga mkono.

Tags:

william ruto Likuyani Tongaren

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories