Naibu Rais William Ruto awataka wakenya waliombee taifa

Serikali imesema kuwa imejipanga kuhakikisha kuwa uchaguzi mkuu ujao utakuwa wa amani. Akizungumza katika kanisa la Delivarance mtaani Umoja hapa Nairobi mapema leo, Naibu Rais William Ruto amewataka Wakenya kuliombea taifa na kuepukana na visa vinavyoweza kuhatarisha umoja na mshikamano wa nchi.

Salim Swaleh anatupasha zaidi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories