Naibu wa mwalimu mkuu wa Alliance achunguzwa

Naibu mwalimu mkuu washule ya upili ya Alliance Boys Nick Ndege anachunguzwa kuhusiana na visa vya unyanyasaji kwa wanafunzi hasa wa kidato cha kwanza shuleni humo kwani yeye ndiye alikuwa na jukumu la kuhakikisha kwamba kila mwanafunzi ana adabu zake. Huenda aliyekuwa mwalimu mkuu David Kariuki pia akalazimika kuandikisha taarifa kuhusiana na kisa cha mwanafunzi anayedai alipewa kichapo na viranja wa shule hiyo.

Tags:

Alliance Boys David Kariuki

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories