Naibu wa rais atafuta kura za wakazi wa Kwale

Naibu rais William Ruto amewataka wenyeji wa kaunti ya Kwale kuipima serikali kwa kuangalia rekodi ya maendeleo ya Rais Uhuru Kenyatta na yeye mwenyewe. Akiwataja wapinzani kama waliokosa mwelekeo na ajenda ya kuwaunganisha wakenya pamoja. Aidha amewarai wakazi hao wachukue kura kwa wingi kusudi wairudishe serikali ya Jubilee mamlakani.

Tags:

william ruto KWALE

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories