Naibu wa Rais azuru Busia na Bungoma


Naibu Rais William Ruto amewataja viongozi wa upinzani kama ambao hawa jipya la kuwapa Wakenya na kuwarai wananchi wa maeneo ya Magharibi mwa nchi kumpa Rais Uhuru Kenyatta nafasi ya kuongoza kwa muhula wa pili. Ruto kadhalika anasema kuwa viongozi wa upinzani hawana ajenda yoyote kwa nchi.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Former sports CS Hassan Wario convicted over Rio games scam

Avatar
Story By Faiza Wanjiru
More by this author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *