#Naivashatragedy | Manusura waelezea masaibu yao

Jamaa na rafiki wa wale waliofariki katika ajali ya  Naivasha wameingiwa na wasiwasi huku wakitaka kuelewa ni vipi kisa hicho kilivyotokea. Mwanamume mmoja ni mwingi wa majonzi baada ya kupoteza familia yake katika mkasa huo.

Saida swaleh anaeleza masaibu ya familia hizi huku wengine wakieleza jinsi walivyoepuka kifo kupitia tundu la sindano.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories