Nambari za vitambulisho vya Raila na Anyango ni sawa

Kiongozi wa ODM Raila Odinga sasa anasema kuwa nambari yake ya kitambulisho ni sawa na ya mpigakura mwingine kutoka Kibra kwa jina Ombai Maria Anyango. Odinga anasema kuwa alidhibitisha hali hiyo katika vituo viwili vya kupigia kura na kudai kuwa ni njama ya wale wanaotaka kutumia mbinu zinazokiuka sheria ili kuongeza idadi ya wapigakura katika ngome zao. Viongozi wa CORD sasa wanaitaka tume ya uchaguzi kupiga msasa sajili ya wapigakura ili kuhakikisha kuwa uchaguzi mkuu ujao ni wa ha

Tags:

CORD Uhuru kenyatta raila odinga Jubilee Party odm Usajili wa wapigakura nambari ya kitambulisho uchaguzi mkuu

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories