NASA walaumu Jubilee baada ya mkutano wao wa pamoja na IEBC kutofanyika


Tume ya uchaguzi IEBC inanuia kuchapisha karatasi za kupigia kura za kinyanganyiro cha urais katika kampuni ya Al Ghurair huko Dubai, kampuni iliyopata kandarasi hiyo katika uchaguzi uliopita. Haya yamebainika katika stakabadhi iliyotolewa na IEBC kwa vyama vya Jubilee na NASA baada ya mkutano wa pamoja kukosa kufanyika wana-NASA wakidai hawakupewa muda kuchanganua stakabadhi hiyo kabla ya mkutano.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Sam Gituku
More by this author