NASA wanataka maafisa 11 wa IEBC wasisimamie uchaguzi


Siku 31 kabla ya marudio ya uchaguzi wa urais muungano wa Nasa umetangaza baadhi ya mabadiliko ambayo unataka yafanywe kabla ya uchaguzi la sivyo uchaguzi usifanyike Oktoba 17 kama ilivyoratibiwa. Baadhi ya masuala tata ni kuhusu maafisa wa tume ya uchaguzi IEBC sawia na mabadiliko kwa mfumo wa uwasilishaji wa matokeo. Lakini kuna uwezekano wa kutimiza matakwa ya Nasa na kuwezesha kuandaliwa kwa uchaguzi huo? Ni yepi yanaweza kufanikishwa na kuhakikishia taifa usalama wa kisiasa?

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Sam Gituku
More by this author