NASA wasubiriwa kufika kortini kupinga ushindi wa Rais Kenyatta

Muungano wa NASA ungali kuwasilisha kesi dhidi ya matokeo ya uchaguzi wa urais katika mahakama ya juu wakisalia na siku moja pekee kufanya hivyo. Duru za kuaminika zinaarifu mawakili wa nasa wangali wanaandaa stakabadhi na ushahidi watakaotoa mahakamani huku mahakama ya juu ikifanya mabadiliko kwa kanuni za kesi ili kuboresha shughuli ya kuskiliza kesi za aina hiyo.

Sam gituku na taarifa hiyo…

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories