NASA wateuwa kamati ya kufanikisha bunge la wananchi

Muungano wa NASA umeteua kamati maalum ya wanachama saba watakaoendesha shughuli za bunge la wananchi linalopendekezwa na muungano huo.
Kamati hii itaongozwa na David Ndii huku muungano huu ukiendelea kukashifu uamuzi wa mahakama kusitisha mijadala ya kuunda vikao hivyo.

Tags:

NASA David Ndii peoples'assembly bunge la wananchi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories