NASA wazidi kupanga kuipinga serikali
Published on: November 16, 2017 08:10 (EAT)
Mabunge kumi ya serikali za kaunti tofauti nchini tayari yamepitisha hoja za kuundwa kwa bunge la wananchi kwa kufuata agizo la vinara wa muungano wa NASA. Hatua hiyo inajiri huku baadhi ya viongozi wa mrengo huo wakiashiria kwamba mabunge mengine manne yatapitisha mswada huo kufikia kesho. Je, mrengo wa NASA kisheria unalenga kuafikia nini na kipi baada ya kuafikia hatua hiyo?
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment