NASA wazindua manifesto uwanjani Bukhungu, Kakamega

Muungano wa Nasa umezindua rasmi kampeni za urais wiki moja baada ya Mgombea urais Raila odinga na mgombea mwenza Kalonzo Musyoka kuidhinishwa na IEBC. Stephen Letoo alikuwa katika hafla hiyo iliyofanyika katika uwanja wa Bukhungu kaunti ya Kakamega na kuandaa taarifa ifuatayo.

Tags:

NASA KAKAMEGA manifesto ya nasa

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories