NASA yajiimarisha Narok
Published on: June 28, 2017 08:16 (EAT)
Viongozi wa upinzani washadidisha kampeni zao Narok,suala la ardhi lapewa kipaumbele maalumu,
viongozi waanza kuuza manifesto yao.Waahidi kuitekeleza kikamilifu wakichaguliwa
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment