NASA yapinga uwepo wa manifesto mbili

Muungano wa upinzani-NASA umepuuzilia mbali madai kuwa ulizindua manifesto mbili, na kuwahadaa wakenya kuhusiana na lengo lake la kujitosa kwenye kinyang’anyiro cha urais mwezi ujao. Aidha, NASA imekanusha manifesto inayodaiwa kufichwa, na yenye orodha ya miradi mikubwa ya mabilioni ya pesa iliyofadhiliwa na mabwenyenye wa kibiashara, wanaonuia kujifaidi iwapo Raila Odinga atashinda urais.

Tags:

JUBILEE cartels Raphael Tuju Jimmy wanjigi NASA manifesto

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories