Nasa yasaka kura Meru


Mgombea urais wa muungano wa NASA Raila Odinga aliongoza kampeni za kutafuta kura kwa wenyeji wa Meru ambao wanamuunga mkono pakubwa Rais Uhuru Kenyatta. Raila aliahidi kuborasha maisha ya wenyeji na kuleta maendeleo akiwataja wapinzani wake kama ambao wamekosa kutimiza ahadi zao kwa wananchi.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Floods exhume bodies at a cemetery

Story By Faiza Wanjiru
More by this author