NASA yasema Uhuru hakuchaguliwa kihalali

Muungano wa NASA sasa umeamua kwenda mahakamni kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais. Kiongozi wa muungano huo raila ondinga amesema kuwa nasa imafikia hayo kufuatia kuvurugwa kwa mashirika ya kijamii ambayo yalikuwa yamepania kwenda mahakamni. Aidha Raila amesema kuwa nasa itaasilisha ushahidi wa kuonyesha jinsi kura zilivyoibiwa na kuwa kuwasilisha kesi mahakamani kutatoa nafasi kw aidara ya mahakama kusafisha jina lake mbele ya wananchi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories