Nasa yatia nanga Meru, Tharaka-Nithi

Kinara wa upinzani Raila Odinga sasa amedokeza kuwa serikali ya NASA itaanzisha mpango wa kifedha utakaowasaidia wanawake ambao hawajaolewa
na wana majukumu ya kulea pamoja na wajane. Odinga alikuwa akizungumza katika ziara yake ya kaunti za Embu, Meru na Tharaka Nithi.

Tags:

raila odinga meru NASA Tharaka Nithi

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories