NASA yatoa ratiba ya kampeni za wiki 2

Mgombea urais wa muungano wa Nasa ambaye pia ni kinara wa chama cha ODM Raila Odinga amewakashifu wanaogombea viti mbalimbali kama wagombea huru akisema kuwa wataukosesha muungano huo viti wanavyohitaji.  Naye mgombea mwenza Kalonzo Musyoka ameeleza imani yake kuwa Nasa itatwaa mamlaka Agosti 8.

Tags:

raila odinga NASA Musalia Mudavadi

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories