Nasa yauza sera Naivasha


Muungano wa NASA hii leo umeendeleza kampeni zake katika eneo la Naivasha, kaunti ya Nakuru na kukashifu vikali serikali ya Rais Uhuru Kenyatta kwa kushindwa kutekeleza ahadi zake kwa Wakenya. Odinga ameahidi serikali ya NASA itafanya kila juhudi kutatua gharama ya maisha.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: FEATURE: KAYA Forest conservation through culture

Story By Stephen Letoo
More by this author