NASA yawasilisha miswada kwenye kaunti

Muungano wa NASA tayari umeanzisha harakati za kumng’atua Rais Uhuru Kenyatta mamlakani huku ukiwasilisha miswada katika mabunge ya kaunti ili kubuni wanaloliiita bunge la mwananchi. Mwanahabari wetu stephen letoo anatupa mengi kuhusiana na mipango hiyo nasa.

Tags:

raila odinga NASA

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories